So tukiendeleaga, our learned friends wata anza ku-argue kuwa NeoColonialism hai-exist ata kidogo, lakini angalia around you. Tuanze na transport system. Me myself ni msani na natambua venye matatu industry ina create Jobs na all those positive things. But...
Tuiangalie ivi, 95% ya art zenye zimepigwa ni Culture ya Mzungu, yaani yenye ilikam na meli, body/chasis zenyewe Isuzu. Mat utaambiwa 30 but ukiwa ndani unaelewa nini itafanyika after. Safari mzima utapigwa na music most of the time huwa mix ya vidaa za asili ya porn na audio hazielweki.
Kama wewe ni m.conscious, io paragraph imekueleza poa mbona crew hu behave hivo vi unethical, kaa hujarada, unaeza rudia. Tukiendeleaga, swali ni 'Na hii neocolonialism inatusaidia aje kwa hii blog post ya leo.
In short, ni kenye mlami anatufanya sahii. Ametu-programe design tunamlamba haga. Hadi yesu ni Mzungu manze, utachekwa ukishrub/uking'oa kidogo, na wenye watakucheka ukicheki ma surname zao, wacha tu. Tuna live ku live our dreams na reality lazima uamke uishi.
Conclusion sitawadanganya ndio hii, nivenye sidai morale ya kusoma iishe, but in short maybe pia wewe umenotice some form of neocolonialism around. Bila kusahau, bado tunatumia worship system za mkoloni. Leo nime tackle aspect ya neocolonialism inajiita cultural imperialism...
#LetsGetReal, bado presence ya mkoloni iko deeply rooted. Hajai enda mahali, alijificha in our minds. To be continued.