Tukiendeleaga na mahali tuliacha, hii story hai-affect, Kenya pekee, but Africa as whole. Africa ndio the richest in terms of natural resources, yaani sisi ni ma sonko ki Jah Bless, udosi yetu haiwezi isha ata kamuthugu kashute moto.
Problem ni mzunye alishatuchocha kutumia akili ni ushetani, kutumia miti shamba ni uchawi na kuamini our old beliefs that tunajua zilichangia kwote kwa bible(Not This Kamuthugu Version) ni devil worship.
Ukidunga research utaget Africa iko na Kanisa kibao kuliko shule na Hosi.
Ukidunga research utaget Africa iko na Kanisa kibao kuliko shule na Hosi.
Hii deni ya mchinku tutaweza lipa na ituachie profit ita sustain our generations to come. If tunaeza as a country ku invest in Natural Resources, by kuinvest na maanisha hadi time. Na ndio tufike apo lazima tu let go izi dreams zilipandwa kwa vichwa zetu. Dreams=Ego.
Dreams zakuona yesu, dreams za one day ntakuwa blah. Time ya campaign tunakula pesa ya mweshimiwa alafu akipata kiti anaanza kujilipa. Na je tukamchamgishia kama community na tuhakikishe tuna working plan as a community ya kutuletea maendeleo?.
Solution ni tusome, na tusome, tujue history ya Africa as a whole, na usi stick kwa syllabus pekee. Kuna Google. My Catholic friends, someni revelation vizuri, Pope ndio anti Christ a.k.a Whore Of Babylon, kaa huamini click hapa. My other religious friends, izi promise za baadae zinasaidia 'Neocolonialism' izidi ku take roots. Human life first. Alafu manze tusupport hii Africa Union, Gaddafi's murder was a wake up call for Africa.
#LetsGetReal hii illuminati mnaogopa courtesy of ignorance, do a thorough research uone venye kuiogopa inasadia kuturudisha nyuma.
No comments:
Post a Comment