Monday, December 3, 2018

Open Post #1 - Walk To Freedom

So sisi Wa Nairobi, kila msee niku wail, oohh matatu, ooh matiangi, ooh sonko. Kama umelelewa Nairobi, na uangalie sahii, kunakaa uduu, miaka nenda, miaka rudi society ime lapa na kunyamazia story corruption unapata hadi grao ya mtaa ya recreation imejngwa gorofa. Alafu kazi ya society nikusema yesu atasaidia vijana waache kupotea.

Bytha pia izi ma lifestyle diseases za muthugu pia zimeongezeka. So ata hii nika tizi ya society. Kitu ingine ni msee kiwete anaandikwa aje job iko far away na kwake? Already hayuko fit kufika, amepata aje io kazi? Aliumia akiwa job, mbona hajashugulikiwa na sonko wake?

It's a high time we restore the face of Nairobi by any means nessecary. Na wakenya wenzangu wenye tunadai ati hii ni gava inatucheza, kumbuka hii siku in the future time utakuwa umenyamazia ufisadi.Tunafaa ku-take this walk kama "Freedom From Corruption For A Brighter Future Walk".

Kaa unaelewa circulation ya pesa kwa economy, then unajua kenye gavaa inaduu. Tunataka modern transport, Nairobi iwe a modern city, ma hawker kagundo road, transport uko iwe cheap na izi bus design unaeza simama. #MordernCity

Tunalia apa na tao usiku hakunaga pevment, congestion disaster, ama hatujachoka kuibiwa simu kwa window ya gari kwa jam? Kukula teargass na wewe ile masaa ya "KANJO!."

#LetsGetReal hawa ma kartel hua wanatumia easy markets kujenga pesa, me niliwaita mahomo, Mr Gavana amewaita ma Kartel, ma enemy of progress. Wakenya tuvumilie change.
Tuko one

No comments:

Post a Comment

URBAN DECAY

Leo wacha tubanje formation ya Eastlando before Mau Mau wamwok kujua umuhimu wa kuoga na ku- shave , way mananyu time yenye waba iliw...