Friday, November 30, 2018

The War Is On


  • 'The War Is On' ni reference kuhusu ile blog ya kwanza:  #IntroductionToNewEraMauMau. Tukiendeleaga, hii war si ati kuanza ma uradi za terror, au kuanza vita hazina mbele wala nyuma but, ni vita inahusu uzemebe na kiburi yenye tuliekwa kwa akili zetu shuleni. Before uminimize hii window usome io text, tulia kiasi. Endelea kusoma.

Kama unakuaga rada, system ya chuo imewekwa design ukimaliza system, hautawahi tambua kusoma, najua pia wewe ushaikuwa kwa ile situation ya "nani asome hio text yote?". Shida moja na sisi ni hatusomi, si ati kusoma ile ya kupata degree.

By now ka unajiuliza kusoma gani hii uyu msee anadai, cheki mfano: unajua Roman Catholic ni corrupt version ya Orthordox? Orthodox ni ancient religion from the days Africa ilikuwa inaitwa Aethopia? Unajua Mau Mau walikuwa labelled terrorist hadi time our former president His Excellency Mwai Kibaki  alikam along aka change?.

Manze jo, saa izi zote zitatusaidia aje, too much information itasaidia aje kuweka unga kwa meza? Nakuelewa but cheki. Saa si umelewa mbona ma leaders si huweka watu saidie hujisaidia? Kama hujarada, soma hii paragraph tena.

Its only until we acknowledge mahali tumetoka na mahali tuko ndio tutambue mahali tunaenda. Kusoma muhimu, lakini kusoma vitu muhimu ndio muhimu.

Conclusion, the war is not only for the flesh, but also nivita ya kukomboa akili. #Neocolonialism
#LetsGetReal

No comments:

Post a Comment

URBAN DECAY

Leo wacha tubanje formation ya Eastlando before Mau Mau wamwok kujua umuhimu wa kuoga na ku- shave , way mananyu time yenye waba iliw...