Kitu umuhimu kaa cashflow kwa Society na umuhimu wa kulipa Tax haikuwa #RocketScience na #CovidPandemic iliwa loosley translated to #Abeluism. Formation iliwa simple, steady flow of traffic in the two way Service Delivery to and from the wahusika. Ma Njoka hawakuwa ma jokers, shit zilikuwa run au zilikuwa zinafaa ku ran in great disrespect to the #ScienceOfStupid a.k.a mtu wetu watu wetu ushirikina katika ujinga wa umati shiet.
Believe me, hamna chuki na structure ya (ma)Yard, ngori tu ni (wa)ule (wa)mjinga (ma)nugu (ma)maraya (wa)mshenzi (wa)ule anaishi ndani ya io Structure, Scientifically imekuwa proven that kuna wajinga kati ya waerevu na vice versa. Hii gava ya #TukoPammoja iko sawa na ma Strategy ya kuchapanisha kwote, noma ni huwezi bomoa nyumba juu inawaka moto, kwanza utazima moto, yaani story ya ufisadi ndio back bone ya Mesty.