Tuesday, December 4, 2018

Open Post #2 - Sifa Za Nairobi

Once upon a time Nairobi ilikuwa place to be, kila kitu ilikuwa maintained design ya capital city. These day's Nairobi hukaa... Wacha tu. Kuanzia garbage hadi maintainance ya mtaa. Service delivery ziko chini. At least formation ya Huduma Centre's ilileta change kiasi.

Shida ilianza after the first generation since keja za Queen zimalizwe, wenye walikam after ignorance ilianza kumea ikizidi kukam hadi leo, wasee walianza kulapa sheria zina govern na ku ensure proper circulation of pesa within Nairobi.

*Keja za Queen ni zile enzi za colonial era, esto kaa Ololo, Mbote, Ofaro nakadhalika.
Alafu kitu inaitwa mabati ikakam, saitan!. Tamaa ikazidi ma indeginous wa Nairobi, illegal structures sahii kila kona. In the process, pesa iko generated Nairobi per day ni mob, but yenye inafika City Hall ni kiasi. Na ivo ndio Breeding Ground ya ma kartel ilianza. 

Majority ya recreational centres sahii utapata kenye nakushow. Illegal structures manenos.
Viwete hu receive benefits mingi kaa shiet! Si nilidhani ndoto yao nikutembea, ama ni juu Paul Kobia alikuwa area? Kama ulifurahia ban ikitoka na humjui, izah joh, wewe ni enemy of progress, good thing niko apa kukuchanua.

Ile cancer inakula Nairobi ilianza na growing ignorance, sahii mahali tuko, tax payer indeginious wa Nairobi anaumia kuliko jamaa wa rural to urban migration. Na sisi wenye tuko keja za Queen tukaamua kumaliza illegal structures na businesses within Nairobi kimmoja. Haitabidi Eastland's ibomolewe ijengwe tena upya.

#LetsGetReal Nairobi sisi ni ma die hards, kaa matatu zikigoma tunatembea, mbona kutembea sahii itulemee, tusitumiwe, macho on the price, modern Nairobi By Any Means Nessecary.

Monday, December 3, 2018

Open Post #1 - Walk To Freedom

So sisi Wa Nairobi, kila msee niku wail, oohh matatu, ooh matiangi, ooh sonko. Kama umelelewa Nairobi, na uangalie sahii, kunakaa uduu, miaka nenda, miaka rudi society ime lapa na kunyamazia story corruption unapata hadi grao ya mtaa ya recreation imejngwa gorofa. Alafu kazi ya society nikusema yesu atasaidia vijana waache kupotea.

Bytha pia izi ma lifestyle diseases za muthugu pia zimeongezeka. So ata hii nika tizi ya society. Kitu ingine ni msee kiwete anaandikwa aje job iko far away na kwake? Already hayuko fit kufika, amepata aje io kazi? Aliumia akiwa job, mbona hajashugulikiwa na sonko wake?

It's a high time we restore the face of Nairobi by any means nessecary. Na wakenya wenzangu wenye tunadai ati hii ni gava inatucheza, kumbuka hii siku in the future time utakuwa umenyamazia ufisadi.Tunafaa ku-take this walk kama "Freedom From Corruption For A Brighter Future Walk".

Kaa unaelewa circulation ya pesa kwa economy, then unajua kenye gavaa inaduu. Tunataka modern transport, Nairobi iwe a modern city, ma hawker kagundo road, transport uko iwe cheap na izi bus design unaeza simama. #MordernCity

Tunalia apa na tao usiku hakunaga pevment, congestion disaster, ama hatujachoka kuibiwa simu kwa window ya gari kwa jam? Kukula teargass na wewe ile masaa ya "KANJO!."

#LetsGetReal hawa ma kartel hua wanatumia easy markets kujenga pesa, me niliwaita mahomo, Mr Gavana amewaita ma Kartel, ma enemy of progress. Wakenya tuvumilie change.
Tuko one

Saturday, December 1, 2018

NeoColonialism(Solution)

Tukiendeleaga na mahali tuliacha, hii story hai-affectKenya pekee, but Africa as whole. Africa ndio the richest in terms of natural resources, yaani sisi ni ma sonko ki Jah Bless, udosi yetu haiwezi isha ata kamuthugu kashute moto.

Problem ni mzunye alishatuchocha kutumia akili ni ushetani, kutumia miti shamba ni uchawi na kuamini our old beliefs that tunajua zilichangia kwote kwa bible(Not This Kamuthugu Version) ni devil worship.

Ukidunga research utaget Africa iko na Kanisa kibao kuliko shule na Hosi.
Hii deni ya mchinku tutaweza lipa na ituachie profit ita sustain our generations to come. If tunaeza as a country ku invest in Natural Resources, by kuinvest na maanisha hadi time. Na ndio tufike apo lazima tu let go izi dreams zilipandwa kwa vichwa zetu. Dreams=Ego.

Dreams zakuona yesu, dreams za one day ntakuwa blah. Time ya campaign tunakula pesa ya mweshimiwa alafu akipata kiti anaanza kujilipa. Na je tukamchamgishia kama community na tuhakikishe tuna working plan as a community ya kutuletea maendeleo?.

Solution ni tusome, na tusome, tujue history ya Africa as a whole, na usi stick kwa syllabus pekee. Kuna Google. My Catholic friends, someni revelation vizuri, Pope ndio anti Christ a.k.a Whore Of Babylon, kaa huamini click hapa. My other religious friends, izi promise za baadae zinasaidia 'Neocolonialism' izidi ku take roots. Human life first. Alafu manze tusupport hii Africa Union, Gaddafi's murder was a wake up call for Africa.

#LetsGetReal hii illuminati mnaogopa courtesy of ignorance, do a thorough research uone venye kuiogopa inasadia kuturudisha nyuma.

URBAN DECAY

Leo wacha tubanje formation ya Eastlando before Mau Mau wamwok kujua umuhimu wa kuoga na ku- shave , way mananyu time yenye waba iliw...