Thursday, May 14, 2020

Grao Yetu

Ushai wonder mahali awa ma politician abelu hutoa ao ma followers wao wengi?  Ushai jiuliza mbona mtaa yako huwa imejaa ma talent mingi ziko tu chini ya maji? I bet pia mtaa yako ina story ya ule kijana flani aliwa talented design ya #JahBless, alaf vile opportunity zikawa kiasi aka turn to other vices kuji-maintain, well, form ni; si kupenda kwao, na wengi wali-dedi wakitry kuvurugana na the evil forces behind hizi ma riswa, 21 Gun Salute to our fallen soldiers, moment of silence… R.I.P.

Saa acha nikupeleke na 411. Places kaa Nairobi zikijengwa, plan iliwa kuwacha ma grao bigi empty venye ata izi Downfall za Babylon zikikam kaa hii #Covid19Pandemic, kutakuwa na area open wasee gifted in different fields wanaeza link up na ku sustain economy hadi rada iwe safi, example kaa grao ya Eastlando hua mostly black cotton soil, rada ya hii mchanga pande ya ku grow ma basic foods kaa mei na ma greens huwa fiti.

Saa awa ma abelu, waliwa amongst wale ma settlers wa fao kwa izi projects, at first kila kitu iliwa ina flow fiti, ukidai grao ya futaa shugli iliwa one time, instead ya kuraukia ma mafood zime-grow-iwa kwa sewage imepigwa mixing na ma chemical waste za Inda, uliwa unaeza piga shugli ya gardening apo njei kwa yard ya you. ma social hall ziliwa fully functioning na ma Church ziliwa moja moja kwa grao zao halali. Na kama kawa devo akikam na mstiri zake, hawes kosa na kuingiza wasee kadhaa box na doh za haraka.

Ma social hall zikageuzwa ma kanisa noisemaker za ku launder maddoh after zinasanywa kwa ma ofisi, na since binadamu huwa hatosheki, ma grao open za recreation zikaanza kupigwa grabbing alaf ma church ma thandu za kuosha doh zikaanza kujengwa, sad to say hadi kuna ma Mosque. Ma ghost companies zikaanza pia kutokea na ku-charge services zinawaga-catered-for ukilipa rent kwa kanjo alafu the remaining spaces zikajengwa ma gorofa na ma thandu guess work za kuvuta Tunongwe kutoka ocha.

As much as ni act of utu kusarekania grao ziokolee fellow humans, the expense imekuwa too much, saa zimekuwa breeding ground za votes, sanitation pia imekuwa pathetic, ma otako kila chowm, ma condom na ma sanitary pads kwa playground na bado kwa sewer system ziki clog, ma kanisa na mosque every service day huwa ni sound clash, kelele tupu, ma talented Kenyans wenye wanafaa ku elevate generations za mtaa wanafinyiliwa ndio politician apate kura aka-mange uko juu.

Alaf ma Tribal Chiefs wanatumia shugli ka census kuu kuficha white juu enyewe izi keja extra haziko ata kwa map ya Nairobi but awa wasee wanahesabiwa ndio uko mbele maddoh zikam ku fund ma ghost projects kaa 'Nairobi Re-Generation Scam' ndio wazidi kumanga tu.

#LetsGetReal
Ma Politicians ni useless, system wame corrupt, first step ya ku fix ni ku turn to God na kuchorea kuvote juu binadamu ni wale wale tu. Alaf Nairobi irudi venye iliwa tene na si tafadhali.

No comments:

Post a Comment

URBAN DECAY

Leo wacha tubanje formation ya Eastlando before Mau Mau wamwok kujua umuhimu wa kuoga na ku- shave , way mananyu time yenye waba iliw...