Ushai wonder mahali awa ma
politician abelu hutoa ao ma
followers wao wengi? Ushai jiuliza mbona mtaa yako huwa imejaa ma
talent mingi ziko tu chini ya maji? I
bet pia mtaa yako ina
story ya ule
kijana flani aliwa
talented design ya
#JahBless, alaf vile
opportunity zikawa kiasi aka
turn to other vices kuji-
maintain, well,
form ni; si kupenda kwao, na wengi wali-dedi wakitry kuvurugana na
the evil forces behind hizi ma
riswa,
21 Gun Salute to our fallen soldiers, moment of silence… R.I.P. Saa acha nikupeleke na
411. Places kaa
Nairobi zikijengwa, plan iliwa kuwacha ma grao bigi
empty venye ata izi
Downfall za
Babylon zikikam kaa hii
#Covid19Pandemic, kutakuwa na
area open wasee
gifted in different fields wanaeza link up na ku
sustain economy hadi rada iwe safi,
example kaa grao ya
Eastlando hua
mostly black cotton soil, rada ya hii mchanga pande ya ku
grow ma
basic foods kaa mei na ma
greens huwa fiti.
Saa awa ma
abelu, waliwa
amongst wale ma
settlers wa fao kwa izi
projects,
at first kila kitu iliwa ina
flow fiti, ukidai grao ya futaa shugli iliwa
one time,
instead ya kuraukia ma mafood zime-
grow-iwa kwa
sewage imepigwa
mixing na ma
chemical waste za
Inda, uliwa unaeza piga shugli ya
gardening apo njei kwa
yard ya
you. ma
social hall ziliwa
fully functioning na ma
Church ziliwa moja moja kwa grao zao halali. Na kama kawa
devo akikam na mstiri zake, hawes kosa na kuingiza wasee kadhaa
box na doh za haraka.
Ma
social hall zikageuzwa ma kanisa
noisemaker za ku
launder maddoh
after zinasanywa kwa ma ofisi, na
since binadamu huwa hatosheki, ma grao
open za
recreation zikaanza kupigwa
grabbing alaf ma
church ma
thandu za
kuosha doh zikaanza kujengwa,
sad to say hadi kuna ma
Mosque. Ma
ghost companies zikaanza pia kutokea na ku-
charge services zinawaga-
catered-
for ukilipa rent kwa
kanjo alafu
the remaining spaces zikajengwa ma
gorofa na ma
thandu guess work za kuvuta
Tunongwe kutoka
ocha.
As much as ni
act of utu kusarekania grao ziokolee
fellow humans,
the expense imekuwa
too much, saa zimekuwa
breeding ground za votes,
sanitation pia imekuwa
pathetic, ma
otako kila chowm, ma
condom na ma
sanitary pads kwa
playground na bado kwa
sewer system ziki
clog,
ma kanisa na mosque every service day huwa ni
sound clash,
kelele tupu, ma
talented Kenyans wenye wanafaa ku
elevate generations za mtaa
wanafinyiliwa ndio
politician apate
kura aka-mange uko juu.
Alaf ma
Tribal Chiefs wanatumia shugli ka
census kuu kuficha
white juu enyewe izi
keja extra haziko ata kwa
map ya
Nairobi but awa wasee
wanahesabiwa ndio uko mbele
maddoh zikam ku
fund ma
ghost projects kaa
'Nairobi Re-Generation Scam' ndio wazidi kumanga tu.
#LetsGetReal Ma
Politicians ni
useless, system wame
corrupt,
first step ya ku
fix ni ku
turn to God na kuchorea ku
vote juu
binadamu ni
wale wale tu. Alaf
Nairobi irudi venye iliwa
tene na
si tafadhali.